Msikiti Mkuu wa Kuwait katika Picha
TEHRAN (IQNA) – Msikiti Mkuu au Msikiti wa Jamia wa Kuwati unaweza kupokea zaidi ya waumini 10,000 jambo ambalo linaufanya kuwa msikiti mkubwa zaidi nchini Kuwait na umejengwa katika eneo la mita za mraba 45,000. Uenzi wa msikiti huo ulikamilika mnamo 1986.