IQNA

Qari Mbangladeshi akisoma katika mashindano Libya

Klipu ya Qarii kijana Mbangladeshi Salih Ahmad Takrim mwenye sauti nzuri akisoma Qurani Tukufu kwa mtindo wa Tartil katika Mashindano ya Kimataifa Libya.

Klipu ya Qarii kijana Mbangladeshi Salih Ahmad Takrim mwenye sauti nzuri akisoma Qurani Tukufu kwa mtindo wa Tartil katika Mashindano ya Kimataifa Libya. Kwa mujibuu wa IQNA alisoma aya za 60-64 za Surati  Ahzab