IQNA

Mahujaji Wakiaga Msikiti wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kabla ya Kuondoka kuelekea Makka

Mahujaji waliofika katika mji mtukufu wa Madina kwanza, Waliaga Msikiti wa Mtume Muhammad (s.a.w.w)

Mahujaji waliofika katika mji mtukufu wa Madina kwanza, Waliaga Msikiti wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kabla ya kuondoka mjini kwenda Makka kutekeleza ibada za Hija.