IQNA

Mahujaji Kutekeleza Tawaf al-Qudum Mjini Makka

Mamia ya maelfu ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia walifika katika Msikiti Mkuu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Tawaf Al-Qudum (Tawaf ya Kuwasili)

Mamia ya maelfu ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia walifika katika Msikiti Mkuu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Tawaf Al-Qudum (Tawaf ya Kuwasili) huku ibada ya Hija kubwa zaidi ya kila mwaka katika miaka kadhaa ilianza katika mji huo Mtukufu.