Katika mwezi wa Muharram na katika siku za maombolezo ya mashahidi wa Hadhrat Aba Abdullah Al-Hussein (AS), IQNA imesambaza kisomo cha Surah Al Fajr kwa sauti za wasomaji mashuhuri duniani. Katika sehemu ya tatu, utasikia kisomo cha Surah Fajr kwa sauti ya Abdul Basit Muhammad Abdul Samad, msomaji maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu.