IQNA

Muharram 1445 (2023): Maandamano ya Maombolezo huko Kashmir

SRINAGAR (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu kote Jammu na Kashmir walihudhuria maandamano ya maombolezo yaliyofanyika kwa ajili ya kumuenzi Imam Hussein (AS) na masahaba zake.