IQNA

Simulizi ya Ghadir hadi Karbala katika Tamthilia aina ya Taaziya

SHIRAZ (IQNA) – Taaziya yaani tamthilia ya kidini ya maombolezo nchini Iran katika eneo la Fasa, mkoani Fars Province, wikii hii imesimulia matukio ya kihistoria katika Uislamu kuanzia Ghadir Khumm and Karbala.