Tukio Maalum la Usomaji Qur’ani Tukufu limewakusanya wahifadhi Qur’ani 1,471 huko Gaza
GAZA (IQNA) - Katika Mpango ya Usomaji Qur’ani huko Gaza, wahifadhi 1,471 wanaume na wanawake walikusanyika Katika msikitini mwezi Agosti tarehe 15, mwaka 2023, kusoma Kitabu Kitukufu kizima, mchakato huo unajulikana kama "Kuhitimisha Qur’ani Tukufu yote kwa siku moja'.