IQNA

Kutana na Majaji Mashindano ya 63 Kuhifadhi Qur'ani ya Malaysia (MTHQA)

KUALA LUMPUR (IQNA) - Jopo la waamuzi wa mashindano ya 63 ya kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia linajumuisha wataalamu 15 kutoka Malaysia na nchi nyinginezo zikiwemo Qatar, Jordan, Uturuki, Indonesia, Lebanon, na Morocco miongoni mwa nyinginezo.