IQNA

Msikilize Ustadh Ahmad Abul Qasimi akisoma aya za Sura Al Kahf na Ahqaf katika Qur'ani Tukufu + video

Ustadh Ahmed Abulqasmi, msomaji wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu katika klipu hii anasoma aya za 107 hadi 110 za Sura Al Kahf na aya 13 hadi 16 za Surah Ahqaf katika Msikiti wa Sheikh Fazlullah Nouri mjini Tehran.