IQNA

Bango | Mkumbuke Mola wako Mlezi Asubuhi na Jioni

"Na mkumbuke Mola Mlezi wako nafsini kwako kwa unyenyekevu na khofu, na bila ya kupiga kelele kwa kauli, asubuhi na jioni. Wala usiwe miongoni wa walio ghafilika." Surah A'raf aya ya 205

Bango | Mkumbuke Mola wako Mlezi Asubuhi na Jioni