Utunzwaji Pazia la Kihistoria la Kaaba katika eneo la Bursa nchini Uturuki
IQNA - Wasimamizi katika Msikiti Mkuu wa Busra nchini Uturuki wamekamilisha kwa mafanikio mradi wa matengenezo ya pazia la kihistoria la mlango wa Kaaba kilichoonyeshwa katika majengo yake ya kihistoria.
Pazia hilo lenye umri wa miaka 500, lililowekwa katika ambalo limewekwa kama wakfu ndani ya jumba la makumbusho la msikiti, sasa liko wazi kwa wageni tena, likiwa limerekebishwa, TRT iliripoti mwishoni mwa Januari 2024.