IQNA

Ukarabati wa Vitabu vya Kihistoria katika Haram ya Imam Ridha AS

IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ridha AS, huko Mashhad, ina kituo maalumu cha kukarabati nyaraka za kihistoria. Kwa hicho kilianzishwa miaka 500 iliyopita ili kulinda turathi za utamaduni wa Kiislamu. Wataalamu hutumia mbinu mbalimbali kukarabati na kufufua vitabu vya kihistoria na miswada.