Matembezi ya maandamano ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu-Tehran 2024
IQNA-Mamilioni ya wananchi wa Iran wanashiriki katika maandamano au matembezi ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA). Hapa chini ni picha za matembezo yaliyofanyika leo Tehran.