Bango | Fadhila kubwa zisizo na kikomo
IQNA-Kwa lengo la kukuza utamaduni wa kuzingatia aya zinazoongoza na zenye kutia motisha za Neno Takatifu la Mwenyezi Mungu, IQBA huchapisha aya za kitabu hiki kitakatifu katika mitandao ya kijamii na katika muundo wa bango na kuzisambaza. Katika sehemu ya Aya ya Nne ya Surat Al Jumua, ya Qur'ani Tukufu, tunasoma hivi..."Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa."