IQNA

Bango | Umuhimu wa Haram Takatifu ya Bibi Masoumah (SA) mjini Qum

IQNA – Imamu Ridha (AS), Imamu wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, alisisitiza umuhimu wa kutembelea Haram Takatifu Bibi Masoumah (Salamullah Alayha), dada yake, katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.

Poster: Significance of Hazrat Masoumeh Shrine in Qom