Mahujaji Hutembelea Maeneo ya Kihistoria ya Madina baada ya Hija
IQNA - Mahujaji wa HIja watembelea mji mtakatifu wa Madina kufuatia kukamilika kwa Hija mwezi Juni 2024.
Mbali na Msikiti wa Mtume (SAW) mji huo ni nyumbani kwa maeneo mengine ya kihistoria kama vile Makaburi ya Mashahidi wa Uhud, Masjid Al Qiblatain, Misikiti Saba, Msikiti wa Quba, Msikiti wa Mubahalah, na Msikiti wa Al-Ghamama.