IQNA

Aya za maisha: Matendo yote ni kwa ajili ya Radhi za Mwenyezi Mungu

IQNA - Na ibada zangu nyingine na uhai wangu na kufa kwangu ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote Aya ya 162, ya Surah An'am.

TITLE :Aya za maisha: Matendo yote ni kwa ajili ya Radhi za Mwenyezi Mungu