Baraza la Mawaziri la Rais wa Iran Masoud Pezeshkian lilikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei siku ya Jumanne, ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kushinda kura ya imani ya bunge.
Kabla ya kuanza kikao hicho, qari maarufu wa Iran Qassem Raziei alisoma Aya ya 23-24 ya Surah Al-Ahzab ya Qur'ani Tukufu.