IQNA

Kongamano la 'Mabalozi wa Muqawama’ laangazia Harakati za Vijana katika Nyanja ya Muqawama

IQNA - Mkutano wa kwanza wa "Mabalozi wa Muqawama" au Mabalozi wa Mapambano ya Kiislamu ulifanyika Tehran mnamo Novemba 21, 2024, kwa kushirikisha wanafunzi wa shule za Iran ambao ni wanachama wa "Balozi za Muqawama". Hafla hiyo ililenga kuangazia harakati za wanafunzi wa Iran katika uwanja wa Mapambano ya Kiislamu.