IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Muhammad Besyuni akisoma Sura Maryam

IQNA – Hapa chini ni qiraa ya ya aya ya 35 ya Surah Maryam katika Qur'ani Tukufu na imesomwa na qari wa Misri Sheikh Muhammad Besyuni.

 

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 
Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.