IQNA

Wakashmiri wajumuika kufungamana na wathiriwa wa hujuma za Parachinar

IQNA - Katika hafla iliyofanyika Desemba 26, 2024, Wakashmiri walikashifu ghasia huko Parachinar, Pakistan, wakionyesha huruma kwa Waislamu wa Shia waliolengwa na magaidi.