PICHA: Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran
IQNA - Mamilioni ya Wairani waliingia barabarani katika miji na vijiji 900 kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mnamo Machi 28, 2025, kuonyesha mshikamano na watu wa Palestina katika Ijumaa ya mwisho ya Ramadhani, inayoadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Kimataifa ya Quds.