IQNA

PICHA: Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds huko Kashmir

IQNA - Kumefanyika maandamano makubwa huko Srinagar, na maeneo mengine ya Kashmir Siku ya Kimataifa ya Quds mnamo Machi 28, 2025, ambapo maelfu ya watu walielezea mshikamano wao na watu madhulumu wa Palestina. Picha na Ubaid Mukhtar