Usomaji wa Pamoja wa Aya kutoka Surah Muhammad
IQNA – Kundi la tawasheeh kutoka Iran linaloitwa "Muhammad Rasulollah" hivi karibuni limefanya usomaji wa pamoja wa aya ya 7 kutoka Surah Muhammad. Aya hiyo inasema: "Enyi mlioamini! Mkisaidia (dini ya) Allah, Atakusaidieni na Atayasimamisha imara miguu yenu."