IQNA

Theluji yafunika maeneo ya mijini na vijijini Kaskazini Magharibi mwa Iran

Theluji imefunika mji wa Ahar pamoja na maeneo mengine ya mijini na vijijini katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran, hali iliyowaletea furaha wakazi na hasa wakulima waliokuwa wakingoja neema ya msimu.