IQNA

Vijana Wakiinua Bendera ya Iran

IQNA – Vijana wa Iran, wakiinua bendera ya nchi yao kwa fahari, wanajifunza na kutekeleza kwa vitendo jukumu la kulinda Mapinduzi ya Kiislamu wakiwa uwanjani na katika medani ya utumishi wa taifa.