IQNA

Watoto wa Iran Wadhihirisha Moyo wa Subira na Istikama Mitaani

IQNA – Katika mitaa mbalimbali nchini Iran, watoto na chipukizi wanajifunza na kudhihirisha kwa vitendo moyo wa subira, uvumilivu na msimamo thabiti (istikama) katika kipindi cha kujihami na kukabiliana na maadui waliovamia nchi.