IQNA

Swala ya Kwanza ya Ijumaa katika Msikiti wa Hagia Sophia baada ya miaka 86

Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86 ambapo maelfu ya waumini wameshiriki katika swala hiyo mnamo Julai 24, 2020
 
 
Kishikizo: Hagia Sofia ، Msikiti ، uturuki ، waislamu