IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi kulaani mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Waandamanji wameitaja hatua hiyo ya UAE kuwa ni usaliti kwa malengo matukufu ya Palestina. Aidha wametekeleteza moto za Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi  Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.