IQNA

Shabab Al-Muqawama Global Front Holds Congress
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 7 la Kimataifa la Vijana wa Mapambano (Shabab Al Muqawama) limefanyika Jumatatu nchini Iran kujadili njia za kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kongamano hilo limefanyika huku kukiwa na hasira katika ulimwengu wa Kiislamu baada ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahraini kuchukua hatua ya usaliti na uhaini ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakoloni ardhi za Palestina.
 
 
Kishikizo: palestina ، vijana ، muqawama ، mapambano