TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi kulaani mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473072 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16