Maombolezo ya Imam Hussein (AS) Al Kadhimiya, Iraq 		
 	 	 		TEHRAN (IQNA) – Katika usiku wa kwanza wa mwezi  wa Muharram, ambao ni kwanza wa Hijriya Qamariya, kumeanza maombolezo wakati huu wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika eneo la Haram takatifu za Al Kadhimiya huko, Baghdad, Iraq na meneo mengine ya nchi hiyo.