IQNA – Katika jitihada za kuimarisha usalama na kuhakikisha utulivu wakati wa siku tukufu za Tasua na Ashura katika mji mtakatifu wa Karbala, nchini Iraq, jumla ya kamera 2,000 za kisasa (smart cameras) zimewekwa kama sehemu ya mpango maalum wa kiusalama.
Habari ID: 3482392 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/23
IQNA – Maombolezo ya Muharram kwa ajili ya Imam Hussein (AS) yamefanyika karibu na Husseiniyeh ya Imam Khomeini (RA) jijini Tehran, siku ya Jumapili jioni.
Habari ID: 3482391 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/22
IQNA – Mtafiti kutoka Lebanon ametoa uchambuzi wa kihistoria akichunguza jinsi mila za maombolezo kwa Imam Hussein (AS) na mashahidi wa Karbala zilivyobadilika katika karne tano za kwanza za kalenda ya Hijiria, akibainisha hatua tatu tofauti kuanzia huzuni ya binafsi hadi ibada ya hadhara.
Habari ID: 3482383 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/20
IQNA – Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo la Qatif nchini Saudi Arabia wanaendelea kufanya majlisi na ibada za Muharram licha ya vizuizi vinavyoripotiwa kuwekwa na mamlaka.
Habari ID: 3482376 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/19
IQNA- Kwa maandalizi ya siku za maombolezo katika mwezi mtukufu wa Muharram na kuadhimisha tukio la Ashura, bendera za maombolezo zimepandishwa katika Msikiti wa Ras al Hussein (AS) katika mji wa Baalbek nchini Lebanon.
Habari ID: 3482369 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16
IQNA – Huku mwezi wa Muharram katika kalenda ya Hijria ukiwa umeingia, vikosi vya jeshi la Iraq vimeongeza kiwango cha utayari na doria ili kuhakikisha usalama wa misafara na mijumuiko maombolezo.
Habari ID: 3482366 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16
IQNA – Katika kuukaribisha mwezi wa Muharram wa kalenda ya Hijria, Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) mjini Karbala, Iraq, imetangaza tarehe ya hafla ya kubadilisha bendera ya kuba la haram hiyo.
Habari ID: 3482364 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/15
IQNA – Kuta na viwanja vya makaburi au haram tukufu za Imam Hussein (AS) na Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala, Iraq, vimepambwa kwa bendera nyeusi na alama za maombolezo huku mwezi wa Muharram wa kalenda ya Hijria ukikaribia.
Habari ID: 3482356 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/13
IQNA – Wakati mwezi wa Muharram unavyokaribia, vibali zaidi ya 700 vimetolewa kwa ajili ya kuanzisha maukibu mjini Karbala, kwa lengo la kuwahudumia waombolezaji wa Muharram katika mji huo mtukufu.
Habari ID: 3482348 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/10
IQNA – Chuo cha Kisayansi cha Qur’ani kinachohudumu chini ya Utawala wa Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kimeandaa mfululizo wa vikao vya Qur’ani Tukufu katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Babylon nchini Iraq, kwa mnasaba wa mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3481001 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/26
IQNA – Mwaka huu, kwa mara ya sita mfululizo, vijana Waislamu wa madhehebu Kishia wa jamii ya Khoja Ithnashari nchini Tanzania wameandaa maonyesho ya Muharram yenye kaulimbiu ya "Subira na Msimamo wa Bibi Zaynab (SA)”.
Habari ID: 3480984 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22
IQNA – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mamlaka za Bahrain zimeendelea kuweka vizuizi juu ya maombolezo ya Muharram, hasa katika siku ya Ashura, mwaka huu pia.
Habari ID: 3480936 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/13
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (Alayhis Salaam) huko Najaf, Iraq, kwa sasa inashuhudia wingi mkubwa wa wafanyaziara na waombolezaji kuadhimisha kuingia kwa mwezi wa Muharram, ambao ulianza Ijumaa, tarehe 27 Juni.
Habari ID: 3480871 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/29
IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini Syria imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa Haram takatifu ya Bibi Zaynab (Salamullahi ‘alayha) mjini Damascus imefungwa.
Habari ID: 3480869 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/29
IQNA - Tukio maalum la sherehe liitwalo "Muharram City", ambalo linajumuisha ubunifu wa kisanii, limeandaliwa Tehran kwa mwaka wa pili, kwa lengo la kukuza maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS) katika miezi ya Hijri ya Muharram na Safar. .
Habari ID: 3479242 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
Matukio ya Imam Hussein (AS)
Aya nyingi katika Qur'ani Tukufu zinahusiana na shakhsia ya Imam Hussein (AS) na maana kubwa ya mageuzi ya Ashura.
Habari ID: 3479156 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
Muharram
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kote duniani wanaukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu ambapo umeanza Mosi Muharram.
Habari ID: 3477305 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19
Kaaba Tukufu
MAKKA (IQNA) – Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kilibadilishwa Jumanne usiku kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka.
Habari ID: 3477304 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19
Hali ya Waislamu Bahrain
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa kiimla wa Bahrain umeshadidisha ukandamizaji wake wa kikatili dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo kabla ya Siku ya Ashura.
Habari ID: 3475577 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04
Mwezi wa Muharram
TEHRAN (IQNA)- Julai 30, 2022 imesadifiana ni tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram mwaka 1444 Hijria Qamaria. Huu ni mwezi ambao Waislamu na wapenda haki duniani hukumbuka mapambano ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3475565 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31