IQNA

TEHRAN (IQNA)- Hizi hapa ni picha za baadhi ya misikiti ya bara la Afrika kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hikma kiko katika kijiji cha Dandaji nchini Niger.
Usanifu majengo ya misikiti hii umezingatia mazingira ya bara la Afrika na ni tafauti na muundo wa misikiti katika eneo la Asia Magharibi.