IQNA

Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas katika Mwezi wa Shaaban

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatfu ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq ni mwenyeji wa maelfu ya wafanya ziyara kwa munasaba wa Idi za Mwezi wa Shaaban.