IQNA – Mkusanyiko wa wafuasi na maashiki wa Imam Mahdi (AS) unaendelea katika Msikiti wa Jamkaran, Qom, Iran, usiku wa Iddi ya Katikati ya Shaaban maarufu kama Nisf Shaaban.
Habari ID: 3480212 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti mikubwa nchini Misri itakuwa imeandaa programu za Khatm al Qur’an (kusoma Quran nzima) katika siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Shaaban.
Habari ID: 3478336 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11
TEHRAN (IQNA)- Haram Takatfu ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq ni mwenyeji wa maelfu ya wafanya ziyara kwa munasaba wa Idi za Mwezi wa Shaaban.
Habari ID: 3475033 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/13