iqna

IQNA

IQNA – Kufuatia hitimisho la hatua ya kwanza ya Tuzo ya 2 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani ya Al-Ameed, waandaaji wametangaza wale waliopita hadi awamu ya pili. 
Habari ID: 3480383    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/16

IQNA – Qari Rahim Sharifi kutoka Iran alisoma Qur’ani katika toleo la pili la Shindano la Kimataifa la Kisomo cha Qur’an la Al-Ameed, ambalo linaendelea katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq. Sharifi anatoka mji wa Ramhormoz katika mkoa wa kusini-magharibi wa Khuzestan.
Habari ID: 3480311    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/05

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashindano ya kwanza ya Qur'ani kwa vyuo vikuu na vituo vya elimu vya Iraq yamezinduliwa na Idara ya Mfawidhi wa kaburi takatifu la Hadhrat Abbas (AS).
Habari ID: 3480084    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Al-Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imetangaza rasmi mchakato wa usajili wa toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani.
Habari ID: 3479944    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Harakati za Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imerejesha programu yake ya kila siku ya Khatmul Qur'an.
Habari ID: 3478752    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/30

Harakati za Qur'ani
IQNA –Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas (AS) nchini Iraq imeandaa mkusanyiko wa qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Senegal kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478664    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala nchini Iraq imetangaza tukio lake kubwa la Qur'ani, "Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kuhifadhi Qur'ani," ambayo itafanyika kama mashindano ya televisheni yaliyo wazi kwa wasomaji kutoka nchi zote.
Habari ID: 3478296    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu ambayo yamewashirkisha watoto na mabarobaro wa nchi tano za Kiafrika.
Habari ID: 3475489    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika eneo lililo baina ya Haram Mbili Takatifu za Imam Hussein AS na Hadhrat Abbas AS linalojulikana kama Bayn al-Haramayn katika mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3475203    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatfu ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq ni mwenyeji wa maelfu ya wafanya ziyara kwa munasaba wa Idi za Mwezi wa Shaaban.
Habari ID: 3475033    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/13