IQNA

Usomaji Qur'ani wa maqarii sita vijana wa nchi za Kiislamu

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii kumesambaa klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya vijana sita kutoka nchi mbali mbali za Kiislamu.

Wanaosoma Qur'ani Tukufu katika kipu hii ni pamoja na Moulana Korch, Mishari Al-Baghli, "Hazza Al-Balushi, Mansour Al-Salami, Islam Sobhi na Mahmoud Fazl.