IQNA

Juzuu ya 5 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 5 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na qarii maarufu wa Iran Ustadh Ahmad Abolghasemi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Kishikizo: qiraa ya qurani ، ramadhani ، juzuu
Habari zinazohusiana