IQNA – Maqari maarufu wa Qur'ani kutoka Iran, Hamed Shakernejad na Ahmad Abolqassemi, wanatarajiwa kushiriki katika moja ya vikao vikubwa zaidi vya Qur'ani Tukufu katika Msikiti mashuhuri wa Istiqlal, Indonesia.
Habari ID: 3480370 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Masoud Nouri, Hossein Fardi, and Saeed Parvizi.
Habari ID: 3480325 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 5 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na qarii maarufu wa Iran Ustadh Ahmad Abolghasemi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480313 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 2 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqarii wanne maarufu wa Iran ambao ni: Saeed Parvizi, Hossein Fardi, Mahdi Gholamnejad, na Jafar Fardi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480298 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03
Qarii Mashuhuri
IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imemuenzi qari maarufu Sheikh Mustafa Ismail katika kumbukumbu ya kifo chake.
Habari ID: 3479970 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29
IQNA - Abdul Basit Abdul Samad alikuwa qari mashuhuri ambaye alianzisha mtindo wake ya usomaji wa Qur'ani Tukufu na kuwatia moyo wale wanaoipenda Qur'ani duniani kote.
Habari ID: 3479833 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/01
Qur'ani Tukufu
IQNA - Visomo vya kale vya Qur'ani Tukufu vinaweza kuwa muhimu kuwasilisha ujumbe aya za Mwenyezi Mungu, mtafiti mmoja amebaini.
Habari ID: 3479826 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30
IQNA - Video ya mtu akisoma Qur'ani Tukufu katika duka la sandwichi katika mtaa wa Times Square mjini New York City licha ya kutozwa faini ya $50 imevutia watu wengi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479606 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Qiraa ya Peponi
IQNA – Kinachofuata ni kisomo cha kuvutia cha baadhi ya aya za Surah Al-Ahzam cha marehemu qari wa maarufu wa Misri Sheikh Abdul-Basit Abdus-Samad
Habari ID: 3478965 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11
IQNA - Qari wa Iran Arash Souri alisoma aya ya 27-30 ya Surah Fajr alipokuwa amesimama karibu na Kaaba Tukufu, huko Makka, mwishoni mwa Mei 2024.
Habari ID: 3478916 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02
Qiraa ya Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Parsa Angoshtan katika klipu hii anasoma aya za 21-24 za Surah Al-Ahzab.
Habari ID: 3478770 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya kwanza ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478493 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/12
Qiraa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Osama al-Zahri al-Balushi, ni qari kijana huko Oman, na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu katika sala ya jamaa imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476289 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii kumesambaa klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya vijana sita kutoka nchi mbali mbali za Kiislamu.
Habari ID: 3476203 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
Usomaji Qur'ani au Qiraa
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Kamil Yusuf al Bahtimi ni moja kati ya wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.
Habari ID: 3476084 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13