IQNA

Tukio Maalum la Usomaji Qur’ani Tukufu limewakusanya wahifadhi Qur’ani 1,471 huko Gaza

GAZA (IQNA) - Katika Mpango  ya Usomaji  Qur’ani huko Gaza, wahifadhi 1,471 wanaume na wanawake walikusanyika Katika msikitini mwezi  Agosti  tarehe 15,  mwaka 2023, kusoma Kitabu Kitukufu kizima, mchakato huo unajulikana kama "Kuhitimisha  Qur’ani  Tukufu yote kwa siku moja'.

 

 

3484833