IQNA

Tamasha la maua ya Tulip mwaka 2025 mjini Karaj

KARAJ (IQNA)- Tamasha Maua ya Tulip limeanza April 4, 2025 katika mji wa Karaj, mkoa wa Alborz magharibi mwa Tehran nchini Iran. Tamasha hilo linafanyika katika Bustani ya Chamran na kuna maua zaidi ya 150,000 ya Tulip ya rangi mbali mbali.