Picha: Haram ya Imam Ridha (AS) yawakaribisha maelfu ya vijana wanaojifunza Qur’ani
IQNA – Takribani vijana 5,000 wanaojifunza Qur’ani walikusanyika katika haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad mnamo Mei 3, 2025, kusoma Qur’ani Tukufu wakati wa sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.