IQNA

Qari Shahmoradi wa Iran akisoma Surah An Nasr

IQNA – Qari mashuhuri wa IraniYunes Shahmoradi alisoma Surah An-Nasr ya Qur'ani Tukufu katika hafla moja ya mwezi huu wa Oktoba 2024, lililohudhuriwa pia na vijana wengine Wairani wasomaji Qur'ani
Kishikizo: Shahmoradi