IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mwaka huu janga la corona au COVIDI-19 limepelekea ibada Hija iwe tafauti na pia sherehe za Idul Adha kote duniani zimetafuatiana na miaka iliyopita. Hatua za kupunguza idadi ya mahujaji na kuweka vizingiti katika sherehe za Idi zimechukuliwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.

Zifuatazo ni picha za Hija na sherehe za Idi katika miaka iliyopita.

 
 

 

 

 

Kishikizo: Hija ، idul adha ، corona