IQNA

Waislamu wawasili Makka kwa ajili ya Hija

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wamewasili katika mji mkuu wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.

Kufuatia kuibuka janga la COVID-19, idadi ya mahujaji mwaka huu ni 1,000 tu na wote ni wakaazi wa Saudi Arabia ambapo 700 miongoni mwao ni raia wa kigeni wanaofanya kazi nchini humo.

Kishikizo: hija ، saudi arabia ، Makka