IQNA

Amali Njema Zaidi

Mtume Muhammad (SAW) anasema Juu ya kila amali njema kuna amali njema zaidi isipokuwa kufa shahidi katika njia ya Allah, kwani hakuna amali njema zaidi ya hiyo Al-Khisal Juz. 1 Uk. 8

Amali  Njema Zaidi