IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani - Siku ya Pili

6:26 - March 24, 2023
Habari ID: 3476753
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

Ramadan Daily Supplications: Day 2

Ewe Mola wangu! Nikurubishe katika mwezi huu karibu na radhi yako, na uniepushe katika mwezi huu hasira zako na maangamizo yako, na Uniwafikie niweze kukisoma kitabu chako Qur'ani Ewe Mrehemevu mno.

captcha