Maonyesho ya Sanaa Kuhusu Mapambano ya Kupigania Uhuru wa Palestina
IQNA – Tukio la kisanii lilifanyika tarehe 31 Oktoba 2024, kwenye Haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, likiangazia mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unazikoloni ardhi za Palestina.